Posts

HARMONIZE KUACHANA NA BRIANA

Image
Msanii wa Muziki nchini Tanzania,Harmonize siku ya leo ameweka wazi,Sakata linaloendelea mitandaoni likihusisha mahusiano yake, Harmonize pamoja na Briana, ambaye Binti huyo ni raia wa Australia, Harnonize ameweka wazi rasmi kwa sasa wameachana mrembo huyo Briana,na kuacha maswali mengi sana mitandaoni, wengine wakidai,Harmonize huenda atakuwa amerudiana na Ex wake, yani mpenzi wake wa zamani maarufu kama, Kajala Masanja. SABABU YA KUACHANA HARMONIZE NA BRIANA. Hii ndio sababu kuu iliyomfanya Harmonize Aachane na Briana,Harmonize ameelezea kuwa Briana alimuhitaji waishi Pamoja nchini Australia, Ndipo harmonize akakataa,kwa sababu tofauti, Huku pia Harmonize akajaribu kumshawishi Briana, aweze kuishi Tanzania, na kupelekea Briana nae kushindwa kukubali kuishi Tanzania.